GOFUNDINNEED – Fundraising for the people and causes you care about

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 663

  • Added: April 10, 2021

  • Location: TANZANIA

  • State: Tanzania Mainland

  • City: Kilimanjaro Region

  • Views: 703

  • Website:

Description

Mfuko wakusaidia watu wenye matatizo ya binafsi na taasisi za kijamii zenye kutoa huduma za aina mbalimbali katika jamii kama NGOs.
Mfumo huu unapokea Fedha kupitia Mtandaoni kwa watu walioguswa na hitaji la mtu binafsi au NGO na kuzifikisha kwa mhusika baada yakuondoa garama za uendeshaji Wa mfumo.
Tunafikishia hitaji lako kwa watu wengi ndani na nje ya nchi na wenye moyo wa upendo na huruma watakusaidia. Mfumo utakuonyesha ni kiasi gani umechangiwa na ni akinanani wamekuchangia.

NB; bado tunaanda tutaanza rasmi October 2021.

Comments

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked. *

Success! Thanks for your comment. We appreciate your response.
You might have left one of the fields blank, or be posting too quickly