Nunua Uza & Wauzaji na Wanunuzi

searchtanzania June 1, 2017 No Comments

Nunua Uza & Wauzaji na Wanunuzi

           Mfumo mpya wa manunuzi na uuzwaji wa bidhaa katika biashara siku hizi unawapa wakati mgumu wafanyabiashara wengi ambao wanashindwa kuendana na mabadiliko hayo.

Wamiliki wengi wa maduka wanabaki kuwa na deni kubwa kutokana na kushindwa kuendesha biashara zao vizuri.

Aina ya maisha ambayo watu wamechagua inawagharimu haswa kwa bidhaa ambazo haziwezi kukaa kwa muda mrefu.

Kuwa na bidhaa zenye ubora mzuri sio kigezo tena kwa watu kuja kutembelea duka lako.

                 NINI CHAKUFANYA?

Kama una biashara ambayo ina ofisi isiyo hamishika unaweza kujitangaza kwa kuiorodhesha katika SOKO LA MTANDAO LA TANZANIA TANZANIAONLINEMARKET.COM / NunuaUza.com 

          Hii itakusaidia wateja kujua mahali ulipo na unaweza kuweka picha nyingi za biashar yako, maelezo na mawasiliano yako.

Tags :